Biblia Takatifu - Bible in Swahili 2.0.3 [free]

Descrição

Biblia Takatifu ya Kiswahilii inakuwezesha kusoma Biblia Takatifu bila kuwa na mtandao (offline). Biblia Takatifu ya Kiswahili ina jumla ya vitabu 66.
Vitabu 39 vya Agano la Kale na vitabu 27 vya Agano Jipya.
Biblia Takatifu ya Kiswahili imetengenezwa kukuwezesha kupangilia kulingana na mahitaji yako, mfano unaweza kuangaza aya unazotaka kuzipata kwa urahisi, kuandika
kumbukumbu na kuweka alama katika sura upendazo (Bookmarks) ili uipate kirahisi utakapohitaji kuisoma baadae.
Pia unaweza kushirikisha ndugu, jamaa na marafiki mstari wowote kutoka kwenye Biblia Takatifu App kupitia ujumbe mfupi (SMS) au mitandao ya kijamii kama Facebook, twitter
na WhatsApp.
Pakua Bibilia Takatifu ya kiswahili app leo na ubebe neo la Mungu popote uendapo!UNAWEZA KUFANYA YAFUATAYO
★ Kusoma Bibilia Takatifu yote bila kuwa na intaneti (Offline)
★ Kupata aya ya siku katika Bibilia Takatifu kila siku katika muda utakaouchagua kwenye bibilia Takatifu app.
★ Kutafuta maneno au neno lolote kwenye Biblia Takatifu yote au kwenye Agano la Kale au Jipya.
★ Kuchagua mandhari ya usiku au mchana kukusaidia kusoma kwa urahisi kulingana na mazingira.
★ Kubadili ukubwa wa maneno wa aya za Bibilia Takatifu.
★ Kubadili aina ya fonti za aya za Bibilia
★ Kupata kitabu cha Biblia Takatifu kwa urahisi baada ya kutafuta.
★ Kuangaza aya kwa rangi mbalimbali (Kati ya rangi nane)
★ Kuhifadhi alamisho (Bookmarks) ili kupata aya za Bibilia Takatifu uzipendazo kwa urahisi na haraka
★ Kuandika kumbukumbu na kuzipanga kwa rangiVITABU VYA AGANO LA KALE
1. Mwanzo
2. Kutoka
3. Mambo ya Walawi
4. Hesabu
5. Kumbukumbu la Torati
6. Yoshua
7. Waamuzi
8. Ruthu
9. 1 Samweli
10. 2 Samweli
11. 1 Wafalme
12. 2 Wafalme
13. 1 Mambo ya Nyakati
14. 2 Mambo ya Nyakati
15. Ezra
16. Nehemia
17. Esta
18. Ayubu
19. Zaburi
20. Mithali
21. Mhubiri
22. Wimbo Ulio Bora
23. Isaya
24. Yeremia
25. Maombolezo
26. Ezekieli
27. Danieli
28. Hosea
29. Yoeli
30. Amosi
31. Obadia
32. Yona
33. Mika
34. Nahumu
35. Habakuki
36. Sefania
37. Hagai
38. Zekaria
39. MalakiVITABU VYA AGANO JIPYA
1. Mathayo
2. Marko
3. Luka
4. Yohana
5. Matendo ya Mitume
6. Warumi
7. 1 Wakorintho
8. 2 Wakorintho
9. Wagalatia
10. Waefeso
11. Wafilipi
12. Wakolosai
13. 1 Wathesalonike
14. 2 Wathesalonike
15. 1 Timotheo
16. 2 Timotheo
17. Tito
18. Filemoni
19. Waebrania
20. Yakobo
21. 1 Petro
22. 2 Petro
23. 1 Yohana
24. 2 Yohana
25. 3 Yohana
26. Yuda
27. Ufunuo wa Yohana

versões Antigas

Free Download Baixe por QR Code
  • Nome do Aplicativo: Biblia Takatifu - Bible in Swahili
  • Categoria: Livros e referências
  • Código App: tz.co.wadau.bibiliatakatifu
  • A versão mais: 2.0.3
  • Exigência: 5.0 ou superior
  • Tamanho : 10.26 MB
  • Atualizado: 2022-10-07